Raila Odinga asema atashirikiana na Rais 2027

  • | Citizen TV
    7,447 views

    Kinara wa ODM Raila Odinga sasa anasema ana imani kwamba atashirikiana na Rais William Ruto hata baada ya uchaguzi mkuu wa 2027, akidokeza uwezekano wa kuungana na Rais Ruto katika uchaguzi mkuu ujao. Akizungumza katika kaunti ya Homa Bay, Odinga aliwashambulia wanaondeleza kampeni maarufu kama wantam, za kumtimua ruto, akisema hizo ni kelele tu.