Raila Odinga asisitiza bei ya bidhaa ishuke

  • | Citizen TV
    5,064 views

    Kinara wa Azimio Raila Odinga amesema kuwa muungano huo utarejelea maandsmano iwapo mazungumzo yatafeli. Akizungumza katika kaunti ya kajiado odinga amemkashifu vikali Naibu Rais Rigathi Gachagua kwa kile amekitaja kama njama ya kuhujumu mazungumzo ya uwiano