Raila Odinga atangaza kuwania kuwa Mwenyekiti wa kamisheni wa umoja wa Mataifa ya Afrika

  • | West TV
    80 views
    Huku mrengo wa azimio ukiendelea kukumbwa na sintofahamu kuhusu atakayekuwa mgombea urais wa mrengo huo kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2027, alhamisi hii kinara wa odm aliyewania urais kupitia mrengo huo kwenye uchaguzi mkuu uliopita raila odinga ametangaza kuwa yuko tayari kuhudumia bara afrika kama mwenyekiti wa kamisheni ya umoja wa afrika