Raila Odinga aunga mkono wazo la Paul Muite la mazungumzo kati ya serikali na upinzani

  • | KBC Video
    27 views

    Kiongozi wa muungano wa Azimio Raila Amolo Odinga ameunga mkono wazo lililowasilishwa na wakili Paul Muite la kutaka kuwepo kwa mazungumzo baina ya serikali na upinzani katika kutatua dhulma za jadi zilizotekelezwa na wakoloni dhidi ya waanzilishi wa taifa hili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News