Raila: Uteuzi wa wa makamishena wa IEBC usiharakishwe

  • | K24 Video
    58 views

    Kinara wa Azimio Raila Odinga amepuuzilia mbali agizo la mahakama lililoruhusu uteuzi wa makamishna wa IEBC kuendelea. Odinga aliyepiga kambi katika eneo la Kamukunji kuzolea ODM Umaarufu anashikilia kuwa kamati hiyo ya uteuzi haitaendelea hadi pale bunge litakapopitisha ripoti yua NADCO. Odinga amezidi kuusuta mkutano baina jaji mkuu martha koome na Rais Ruto