- 127 viewsDuration: 3:51Rais William Ruto leo amekuwa na shughuli nyingi huku akihudhuria hafla mbalimbali. Ruto Rais ambaye alihudhuria kongamano la Umoja wa mataifa kuhusu mazingira jijini Nairobi, aliendeleza wito wake wa kuchukuliwa kwa hatua kuhusiana na mabadiliko ya hali ya hewa pamoja na ufadhili. Wakati huo huo, rais aliongoza hafla ya kuwakabidhi hadhi za heshima mawakili 54 wakuu wa mahakama kuu kwenye ikulu ya Nairobi. Ripota wetu Gladys Mungai na maelezo zaidi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive