Rais aidhinisha sheria kuhusu watu walio na ulemavu

  • | KBC Video
    68 views

    Rais William Ruto ametia saini kuwa sheria mswada kuhusu watu walio na ulemavu ambayo inawahakikishia haki zao za kupata elimu, ajira, huduma za matibabu, kushirikishwa katika maswala ya kisiasa na kuingia kwenye majumba na maeneo ya umma. Ruto pia alitia saini kuwa sheria mswada wa mwaka 2025 wa pesa za ziada kwa serikali za kaunti inayotoa ufadhili zaidi kwa kaunti ili kuhakikisha usambazaji sawa wa rasilmali na kuimarisha utoaji huduma katika kaunti.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive