Rais aifokea idara ya mahakama kwa kutowafunga wafisadi

  • | Citizen TV
    Rais Uhuru Kenyatta kwa mara nyingine tena ametangaza nia yake ya kuhakikisha UFISADI unatokomezwa huku akitaka idara ya mahakama kushirikiana Na serikali kuu kufanikisha vita dhidi ya ufisadi.