Rais aitaka wizara ya mawasiliano na teknolojia ihakikishe wakenya wana vitambulisho vya kidijitali

  • | K24 Video
    127 views

    Rais William Ruto ameitaka wizara ya mawasiliano na teknolojia ihakikishe kuwa wakenya wote wana vitambulisho vya kidijitali, agizo ambalo linaashiria kurejea kwa huduma namba. rais ambaye ameagiza waziri wa mawasiliano Eliud Owalo kushughulikia mradi huo ameelezea haja ya wakenya kutambuliwa kidijitali kabla ya mwaka huu kutamatika huku akitoa hakikisho kuwa zaidi ya huduma elfu tano za serikali zitapatikana kupitia mfumo wa dijitali.