Rais akagua na kuzindua miradi ya maendeleo kaunti ya Migori

  • | KBC Video
    12 views

    Rais William Ruto ametoa changamoto kwa wapinzani wake wa kisiasa kuendeleza siasa zenye maana na kuepuka siasa za migawanyiko ya kikabila. Rais, ambaye aliendelea na ziara yake ya kikazi katika Kaunti ya Migori leo alisema amejitolea kikamilifu kutekeleza ahadi zake za kabla ya uchaguzi na hatakengeushwa kwa vyovyote vile. Anavyoripoti Wycliffe Oketch matamshi ya rais yanawadia huku idadi kubwa ya wawaniaji wa kiti cha urais katika uchaguzi mkuu ujao ikizidi kujitokeza.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive