Rais alikutana na Wakenya wanaoishi uingereza

  • | KBC Video
    192 views

    Rais William Ruto amesisitiza kuwa hatalegeza msimamo wake kuhusu maamuzi muhimu ambayo serikali yake inatekeleza kwa ustawi wa taifa. Akizungumza mjini London alipokutana na Wakenya wanaoishi huko, Rais Ruto alisema yuko tayari kufanya maamuzi magumu hata zaidi ili kuisogeza mbele nchi, na kwamba hatawasikiliza watu ambao anasema wanakosoa maamuzi mengi ambayo anafanya bila kutoa suluhu mbadala.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive