Rais ameeleza mikakati ya kuimarisha usalama Baringo

  • | K24 Video
    131 views

    Serikali imeahidi kuchukua hatua kali ili kukabiliana na ukosefu wa usalama katika eneo la Baringo. rais Ruto amezungumza haya akihudhuria ibada ya kanisa katika kaunti ya Baringo huku akiwapongeza wakenya kwa uchaguzi ambao anasema ulitokomeza ukabila ili kumpa ushindi. Naibu rais Rigathi Gachagua alitetea hatua ya afisi ya mashtaka ya umma kuondoa kesi zinazomkabili huku akiendelea kutaka kesi zaidi zilizochochewa na siasa mahakamani ziondolewe.