19 Aug 2025 10:21 am | Citizen TV 4,243 views Duration: 3:13 Rais William Ruto sasa anasema wabunge wanaohusika na ufisadi na kula mlungula watakamatwa. Rais pia akifichua kuwa maseneta hudai hadi shilingi milioni 150 kutoka kwa magavana wanapofika mbele ya seneti kuhojiwa