Rais amewasihi wahudumu wa afya kuangazia hali ya uchumi nchini.

  • | West TV
    12 views
    Hatimaye rais William Ruto amevunja kimya chake kuhusiana na mgomo wa madaktari unaoendelea kwa kuwasihi madaktari kuangazia hali ya uchumi livyo katika taifa hili na kukubali mazungumzo ili kusitisha mgomo huo. Akizungumza katika ibada ya jumapili katika kanisa la AIC Eldoret kaunti ya Uasin Ngishu Ruto hata hivyo amesema vile vile ataandaa mazungumzo kuangazia hali ya kiuchumi ya ya taifa akisema ni maswala mengi yanastahili kuangaziwa.