Rais aonya maandamano huenda yakalemaza taifa

  • | KBC Video
    4,801 views

    Rais William Ruto ameelezea matukio ya Jumatano Juni tarehe 25 kuwa njama ya kutekeleza ghasia, uharibifu wa mali na hujuma ya kiuchumi kwa kisingizio cha maandamano ya amani na utetezi wa haki. Rais Ruto alisema kwamba ijapokuwa katiba inalinda haki ya kuwa na maandamano ya amani, matukio yaliyoshuhudiwa yalikiuka mipaka ya kujieleza. Giverson Maina na taarifa hii kwa utendeti.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive