Rais apokea hati za mabalozi wapya watano

  • | KBC Video
    24 views

    Rais William Ruto leo alipokea hati za mabalozi watano wapya wanaowakilisha nchi zao humu nchini. Mabalozi hao wanawakilisha nchi za Mexico, Serbia, Thailand, San Marino na falme ya Eswatini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive