14 Aug 2025 10:18 am | Citizen TV 4,545 views Duration: 2:05 Rais William Ruto hii leo ameendelea kutetea mipango ya serikali yake anayosema inalenga kutoa ajira kwa vijana akidai kwamba ndio njia pekee ya kutatua mzigo wa ukosefu wa ajira nchini.