Rais asema serikali itawalinda wananchi dhidi ya dhulma

  • | Citizen TV
    3,943 views

    Rais William Ruto amesema kuwa serikali itazidi kuwalinda wananchi dhidi ya dhulma kutoka kw amaafisa wa polisi.