Rais asema wanajeshi watashirikishwa zaidi katika opersheni ya kupambana na wizi wa mifugo

  • | K24 Video
    330 views

    Rais William Ruto amesisitiza kuwa wanajeshi wataendelea kushiriki operesheni ya kupambana na wizi wa mifugo kaskazini mwa Bonde la Ufa. Rais amesema hayo leo wakati wa sherehe ya kufuzu kwa maafisa 357 katika chuo cha jeshi cha lanet, kaunti ya Nakuru