Rais asifia mchango wa Raila humu nchini

  • | KBC Video
    43 views

    BANIANI MBAYA KIATU CHAKE DAWA

    Aliyekuwa Waziri mkuu Raila Odinga amewataka viongozi kuzingatia yale yaliyo sahihi, na wala sio yaliyo rahisi na maarufu. Akizungumza leo wakati wa mkutano wa tatu wa kitaifa wa kutathmini utendakazi wa serikali ulioongozwa na Rais William Ruto, Odinga aliwataka viongozi kuchukua jukumu la kukabiliana na changamoto moja kwa moja. Hisia sawia zilitolewa na Rais William Ruto, ambaye alikariri kwamba wito wa Odinga kwa viongozi kuzingatia unawiana na maadili ya serikali.

    #DarubiniWikendi

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive