20 Aug 2025 10:17 am | Citizen TV 295 views Duration: 1:39 Rais William Ruto amesisitiza umuhimu wa uchumi wa majini katika uzalishaji wa chakula cha kutosha huku ulimwengu ukijiandaa kwa kongamano bahari litakalofanyika mwezi machi mwaka ujao