Rais asitisha kanuni mpya za bima ya afya ya kitaifa

  • | Citizen TV
    Rais Uhuru Kenyatta ametoa amri kusitishwa kwa mabadiliko ya hazina ya bima ya afya ya kitaifa NHIF. Baadhi ya wakenya na viongozi wamesisitiza kuwa kanuni hizo ni za kudhalilisha. Rais ameagiza wizara ya afya kusitisha mabadiliko hayo na kuhakikisha kuwa kumekuwa na mazungumzo ya kutosha kuleta mabadiliko yanayofaa.