Rais ataka mawaziri wapya walioapishwa kukomesha ubadhirifu wa pesa za umma katika wizara zao

  • | Citizen TV
    97 views

    Rais william ruto amewataka mawaziri wapya walioapishw aleo asubuhi katika ikulu ya nairobi kukomesha ubadhirifu wa pesa za umma katika wizara zao , kando na kuhakikisha kuwa wanatoa habari na maelezo kw awananchi kuhusu mipango ya serikali na wizara zao ili kuleta ufahamu kuhusu utendakazi wa serikali.