Rais atia saini miswada mbalimbali kuwa sheria

  • | KBC Video
    9 views

    Afisi ya mwanasheria mkuu sasa inaweza kuajiri na kuwapandisha ngazi maafisa wake bila idhini ya tume ya kuajiri watumishi wa umma. Hii ni baada ya rais William Ruto kusaini mswada wa marekebisho ya sheria mbali mbali ili kubuni bodi ya ushauri katika afisi ya mwanasheria mkuu ambayo itashughulikia suala ya uhaba wa maafisa na masharti ya kazi kwa mawakili wa serikali. Aidha, rais Ruto amebadili siku kuu ya Utamaduni inayosherehekewa tarehe-10 Oktoba kila mwaka kuwa siku kuu ya Mazingira kuwezesha Wakenya kushiriki kikamilifu katika shughuli za uhifadhi wa mazingira.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive