Rais awasomea wabunge wa Kenya Kwanza

  • | Citizen TV
    5,894 views

    Wabunge wa kenya kwanza leo wamejipata lawamani huku Rais William Ruto akiwasomea kuhusu majukumu yao. Rais akiwakashifu wabunge ambao hawajihusishi na ukaguzi wa miradi ya serikali au hata kufanikisha ajenda kuu za serikali yake. Kwenye kikao cha wabunge kinachoendelea naivasha rais ruto sasa amewataka wabunge kuweka uzembe kando na kuwajibika kazini.