Rais awataka viongozi wakome kulumbana

  • | KBC Video
    Rais Uhuru Kenyatta amewarai viongozi kujiepusha na malumbano bali washirikiane kwa manufaa ya taifa hili. Akiongea katika kaunti ya Kirinyagah kabla ya sherehe za siku kuu ya Mashujaa, kiongozi wa nchi alisema miradi inayotekelezwa kote nchini inatokana na ushirikiano kati ya serikali kuu na zile za magatuzi na pia ushirikiano miongoni mwa taasisi za serikali. Rais alisema marekebisho zaidi yatafanywa hasa katika sekta ya kilimo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #ThisIsKBC #News