Rais awataka waandamanaji kudumisha utulivu

  • | KBC Video
    44 views

    Rais William Ruto ametoa wito wa umoja huku kukiwa na maandamano katika baadhi ya maeneo humu nchini leo. Rais alitoa wito kwa waandamanaji kuzingatia sheria, akionya kuwa maandamano yenye vurugu ni tisho kwa uthabiti wa taifa hili. Wito wake wa maandamano ya amani uliungwa mkono na kiongozi wa ODM Raila Odinga, ambaye aliwataka waandamanaji kujizuia, akitoa wito wa sheria zitungwe ili kuhakikisha maandamano ya amani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive