Rais William Ruto amewatakia Wakenya mema katika msimu huu wa sikukuu na kuwahimiza kuwa na heshima wanaposherehekea Krismasi na Mwaka Mpya. Akizungumza katika video aliyopachika leo kwenye mitandao ya kijamii, Rais Ruto alisema huku mwaka wa 2025 ukifikia kikomo, Kenya imeafikia maendeleo muhimu. Aidha, aliwaonya madereva kuwa waangalifu ili kuepusha ajali.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive