Rais Biden awasili katika Bunge la Marekani kutoa hotuba ya Hali ya Kitaifa

  • | VOA Swahili
    289 views
    Rais Joe Biden akiwasili katika Bunge la Marekani kutoa hotuba yake ya tatu ya Hali ya Kitaifa na pengine yenye kishindo kikubwa akiwa ana matumaini ya kuuza kwa umma wa Wamarekani azma ya kuendelea na muhula wa pili. Biden amekusudia kutumia hotuba yake kuwahimiza wapiga kura kukataa "simulizi zilizoko Marekani za kinyongo, kuadhibu, na kulipiza kisasi" wakati alipokuwa akiwasilisha hoja yake kwa wapiga kura waliovunjika moyo na kuonya kuwa mgombea anayeongoza uchaguzi wa Chama cha Republikan atakuwa ni chaguo mbadala hatari. (AP/VOA) #sotu #biden #voaswahili