Rais John Pombe Magufuli aongoza katika matokeo ya a uchaguzi wa urais nchini Tanzania

  • | BBC Swahili
    Tuliyonayo katika Dira ya Dunia Ijumaa 30 Oktoba 2020 · Rais John Pombe Magufuli aongoza katika matokeo ya awali ya uchaguzi wa urais nchini Tanzania. · Wafuasi wa chama tawala CCM washerehekea ushindi wao, huku wale wa upinzani wakilalama. · Waangalizi wa kimataifa watofautiana kuhusu kama uchaguzi wa Tanzania ulikuwa huru na wa haki. · Na Rais mteule wa Zanzibar Dokta Huseein Ali Mwinyi, wasifu wake ni upi hasa? Ungana nami Regina Mziwanda na Roncliffe Odit hapo kumi na mbili unusu jioni #DirayaDunia #JohnPombeMagufuli #UchaguziTanzania2020