Rais Kenyatta akutana na wakuu wa usalama

  • | KBC Video
    Rais Uhuru Kenyatta amewahakikishia maafisa wakuu wa usalama nchini kuwa serikali itasimama nao wakati wa uchaguzi mkuu ujao. Rais aliwapongeza maafisa wakuu wa usalama nchini kutoka afisi ya kitaifa ya serikali na wale wa huduma ya taifa ya polisi nchini kutokana na juhudi zao za kuhakikisha kuwa usalama na amani inadumishwa humu nchini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #PresidentUhuru #security