Rais Kenyatta na Raila waongoza hafla ya kusherekea miaka mia moja ya dhehebu la Akorino

  • | K24 Video
    99 views

    Rais Uhuru Kenyatta na kinara wa Azimio Raila Odinga wameongoza hafla ya kusherekea miaka mia moja ya dhehebu la Akorino. Odinga aliaihidi kushirikiana na dhehebu hilo katika uongozi na kulisifia kwa jitihada za kuongoza katika harakati za ukombozi. Rais kenyatta pia alionekana kuwatunuku waumini na zawadi kocho kocho.