Rais Kenyatta: Tumeweka mikataba hasa kuhusu pipeline ya gas toka Mombasa hadi Tanzania

  • | Citizen TV
    Rais Uhuru Kenyatta: Tumeweka mikataba hasa kuhusu pipeline ya gas toka Mombasa hadi Tanzania. Pia tumeweka mkataba wa kuimarisha culture and national heritage, mkataba wa tourism