Rais Mpya Wa NOCK na Makamu Wa Rais Leo Wanachukua Rasmi Mamlaka Katika Ofisi Mpya Ya NOCK

  • | K24 Video
    56 views

    Rais Mpya Wa Kamati Yab Olimpiki Humu Nchini (Nock) Shadrack Maluki, Makamu Wa Rais Wa Kwanza Barnaba Korir Na Makamu Wa Rais Wa Pili Nashon Randiek Leo Wanachukua Rasmi Mamlaka Katika Ofisi Mpya Ya Nock, Wakiongozwa Pia Na Katibu Mkuu John Ogolla Baada Ya Kuchaguliwa Wiki 2 Zilizopita — Hatua Inayoashiria Mwanzo Mpya Wa Uongozi Na Matumaini Mapya Kwa Michezo Ya Kenya. Makabidhiano Hayo Yanakuja Huku Nock Ikijiimarisha Chini Ya Uongozi Mpya Wenye Dhamira Ya Uwazi, Maendeleo Ya Wanamichezo Na Umoja Miongoni Mwa Wafedha, Akiongozwa Na Rais Maluki Na Katibu Mkuu Ogolla.