Rais mpya wa Senegal Bassirou Diomaye ni nani?

  • | BBC Swahili
    3,305 views
    Rais mpya wa Senegal Bassirou Diomaye (pron: Joe Ma Ye) Faye) ameahidi kufanya kazi bila kuchoka ili kuimarisha demokrasia ya nchi na kuhakikisha amani na utulivu wake. Mwandishi wa BBC Thomas Naadi alitembelea mji aliozaliwa wa Ndiaganiao na kuzungumza na baadhi ya wanafamilia kuhusu malezi ya Faye. #bbcswahili #senegal #Faye Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw