- 38,648 viewsDuration: 5:50Msisimko mkubwa ulitanda katika Uwanja wa Nyayo wakati Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta alipokuwa akitoa rambirambi zake na kumpa heshima za mwisho Hayati Raila Amollo Odinga. Mapokezi ya aina yake kutoka kwa waombolezaji yalimlazimu Kenyatta kusitisha hotuba yake kwa muda mfupi, baada ya kushangazwa na ukubwa wa umati uliomkaribisha kwa vifijo.