Rais mstaafu Uhuru Kenyatta awataka raia wa Nigeria kuwa na utulivu wanaposubiri matokeo ya urais

  • | Citizen TV
    3,962 views

    Rais Mstaafu Uhueu Kenyatta yuko nchini Nigeria ambako amehusika na uchunguzi wa uchaguzi uliokamilika jumamosi. Rais mstaafu akiwataka raia wa Nigeria kuwa na utulivu hata wanaposubiri matokeo ya urais. Uchaguzi wa taifa hilo ulifanyika kwa njia ya amani, raia wa taifa hili wakitafuta mrithi wa Rais Muhammadu Buhari anayestaafu.