Rais: Najenga kanisa katika ikulu, na hakuna pesa za umma zinatumika

  • | KBC Video
    33 views

    Rais William Ruto amesema hakuna pesa za umma zinatumiwa kujenga kanisa katika ikulu ya Nairobi. Rais amesema kwamba, alipata kanisa mbovu katika ukulu, na akamua kutumia pesa zake kukarabati kanisa hilo. Akizungumza katika ikulu ya Nairobi alipokutana na viongozi kutoka kaunti ya Embu, rais alisema ataendelea kushiriki katika ujenzi wa maabadi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive