Rais Paul Kagame akubali kukutana na Rais Felix Tshisekedi
Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Angola tete Antonio amesema Jumatatu jioni kwamba Rais Paul Kagame wa Rwanda amekubali kukutana na mwenzake wa Jamhiri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa mazungumzo kuhusu hali ya usalama mkashariki ya Congo.
Antonio alizungumza na waandishi habari baada ya Rais Kagame kukutana na mwenyeji wake Joao Lourenco katika ikulu Lunda kwa mazungumzo juu ya ushirikiano kati ya nchi zao mbili.
Wakati wa mkutano huo walikubaliana kwamba Rais Kagame ataweza kukutana na Rais Tshisekedi katika wakati utakaofikiwa na wapatanishi," amesema Antonio
Ofisi ya rais wa Rwanda kwenye ujumbe wake katika ukurasa wake wa X imeeleza kwamba wakuu hao wamekubali juu ya hatua muhimu kuelekea kutanzua sababu msingi wa ugomvi na haja ya kuheshimu utaratibu wa makubaliano ya Luanda na Nairobi wa kupatikana Amani na utulivu katika kanda nzima.
"Ujumbe wa Rwanda ulikubali kimsingi na ujumbe wa Congo kwamba mawaziri wao watafanya kazi pamoja ili kufikia lengo hilo," amesema Antonio.
Mwishoni mwa mwezi Februari, Antonio anasema Rais Tshisekedi kimsingi ameshakubali kukutana na mwezake wa Rwanda. Mara ya mwisho viongozi hao kukutana ilikua Februari 16 kando ya mkutano wa
viongozi wa Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa wakati wa mkutano mdogo wa kilele ulotayarishwa na Rais Lourenco. - AFP
#goma #kivukaskazini #jimbo #waasi #m23 #raia #makombora #sake #gavana #cirimwani #mejajenerali #voa #voaswahili #luanda #angola #mpatanishi #raiswaangola #teteAntonio #felixtshisekedi #paulkagame #rwanda
11 Aug 2025
- Special trade agreements between Kenya and the UK allow the export of both goods and labour.
11 Aug 2025
- This comes a day after the case was reported at the Capitol Hill Police Station.
11 Aug 2025
- KUPPET claims that TSC should follow in the footsteps of the National Police Service.
12 Aug 2025
- The Senate’s attempt to extend its oversight beyond its constitutional mandate raises concerns.
12 Aug 2025
- KICD says learners who want to pursue Core Mathematics must have met or exceeded expectations throughout their primary and junior school assessments.
12 Aug 2025
- How Jose Mourinho influenced McCarthy in defensive artistry
12 Aug 2025
- Hustler Fund, e-Citizen: Stop denials and embrace honest conversations
12 Aug 2025
- Ruto puts banks to task over constant high lending rates
12 Aug 2025
- Unbowed Lagat returns despite murder probe
12 Aug 2025
- Inside school walls: The hidden reality of forced pregnancy tests, searches
12 Aug 2025
- Nairobi Hospital suspends price hikes after insurers' outcry
12 Aug 2025
- DAP-K convenes crisis talks as Wamalwa, Natembeya rift widens
12 Aug 2025
- Farmers win round one as court halts duty-free rice importation