Rais Ruto aagiza kufidiwa kwa waathiriwa wa maandamano

  • | Citizen TV
    4,270 views

    Rais William Ruto ametoa agizo rasmi la kufidiwa kwa waathiriwa wa maandamano tangu mwaka 2017, katika mpango utakaosimamiwa na Mshauri wake wa Masuala ya katiba na Haki za Binadamu, Profesa Makau Mutua. Rais akisema hii ndio njia muhimu ya kuleta maridhiano nchini.