- 15,337 viewsDuration: 5:27Rais William Ruto ametangaza vita dhidi ya uraibu wa pombe na mihadarati. Rais Ruto alisema tatizo hilo limekithiri na sasa linatishia maadili ya kijamiii, utendakazi na usalama wa taifa hili. Kiongozi wa taifa kwenye hotuba yake ya kuulaki mwaka mpya kwa wakenya aliahidi kuimarisha kitengo cha kukabiliana na dawa za kulevya katika azma ya kutokomeza tatizo hilo nchini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive