Rais Ruto aagiza wizara kupunguza bajeti zao

  • | Citizen TV
    2,432 views

    Rais William Ruto ameagiza wizara zote kupunguza bajeti zao kwa asilimia 10 ili kuwianisha matumizi na rasilimali zilizopo kufuatia matatizo ya kiuchumi ulimwenguni.