Rais Ruto aahidi kuimarisha viwanda vya sukari magharibi

  • | Citizen TV
    2,137 views

    Rais William Ruto ameendeleza ziara yake maeneo ya magharibi ambako mazungumzo ya uwiano na hata kuimarishwa kwa sekta ya sukari ilishamiri kwenye mikutano yake. Rais akisema kuwa yuko tayari kuidhinisha kubuniwa na hata kufadhili ofisi ya kiongozi wa upinzani endapo mrengo wa Azimio utakuwa tayari.