Rais Ruto aamuru waziri Eliud Owalo kurejesha huduma namba

  • | Citizen TV
    10,194 views

    Serikali imewahakikishia wananchi kuwa data kuwahusu ziko salama. Akizungumza katika maadhimisho ya siku ya usalama wa data, rais Ruto amesema kuwa serikali tahakikisha kuwa wahalifu wahatumii teknolojia kukwepa kulipa ushuru au kuwalaghai wakenya wenzao. Aidha rais Ruto ameitaka wizara ya teknolojia kuhakikisha kuwa wakenya wamewezeshwa kujitambulisha kidijitali.