Rais Ruto aandamana na kinara wa ODM Raila Odinga kwenye ziara yake Nyanza

  • | Citizen TV
    1,773 views

    Rais William Ruto anaendelea na ziara yake maeneo ya nyanza ambapo anazindua miradi ya maendeleo. Leo ameelekea kaunti ya Homabay baada ya kuzindua mradi wa nyumba za serikali jijini Kisumu hapo jana.