Rais Ruto aapa kuwakomesha walaghai wa SHA

  • | Citizen TV
    4,493 views

    Rais William Ruto sasa anasema serikali itawakamata na kuwashtaki watu au hospitali zinazohusika na ufisadi kwenye bima ya afya ya SHA. Rais akionya kuwa serikali haitakaa kimya huku mabilioni ya pesa yakiendelea kupotea kutokana na ukora wa baadhi ya watu nchini. Rais aliyezungumza Ikulu ya Nairobi sasa anasema watakaopatikana na hatia watalazimika kurejesha fedha walizolaghai