Rais Ruto aendela kuitetea serikali yake

  • | K24 Video
    159 views

    Rais William Ruto ameendela kuitetea serikali yake akidai kuwa ni ya kuwaleta wakenya pamoja. Akizungumza katika kaunti ya Bungoma baada ya kukamilisha ziara yake eneo la Nyanza, Ruto amedokeza kuwa cha muhimu sasa ni kufanikisha miradi ya maendeleo kote nchini bila ya kuzingatia misingi ya kisiasa.