Rais Ruto aendelea kushabikia uhusiano wake mpya na kinara wa ODM Raila Odinga

  • | Citizen TV
    2,238 views

    Rais William Ruto Ameendelea Kutetea Serikali Yake Ya Mseto Na Upinzani, Akisifia Kufana Kwa Ziara Yake Ya Punde Zaidi Eneo La Nyanza. Rais Akisema Kuwa, Kuungana Na Upinzani Kumetoa Fursa Ya Mahasimu Wake Wa Zamani Wa Kisiasa Kujenga Usuhuba Naye Kwa Minajili Ya Kuendeleza Taifa. Amezungumza Kaunti Ya Bungoma Saa Chache Kabla Ya Kuondoka Nchini Usiku Wa Leo Kuelekea Uchina Kwa Ziara Rasmi, Kama Emmanuel Too Anavyotuarifu