Rais Ruto afafanua kuwa serikali imefanikiwa kuutekeleza mpango mpya wa ufadhili wa wanafunzi

  • | NTV Video
    466 views

    Rais William Ruto amefafanua kuwa, kwa mujibu wa ripoti ya jopo kazila rais kuhusu mageuzi ya elimu, lililoongozwa na raphael munavu, serikali imefanikiwa kuutekeleza mpango mpya wa ufadhili wa wanafunzi, ambao umefanikiwa kutoa shilingi bilioni 41 kama mikopo na ufadhili kwa vyuo vikuu katika kipindi cha mwaka mmoja. akisistiza kuwa hii imeimarisha hali ya kifedha ya vyuo vikuu , na kwamba sasa vyuo vikuu viko katika njia nzuri ya kulipa madeni yao ndani ya mwaka mmoja . alikuwa katika kaunti ya machakos kwenye sherehe ya mahafala wa chuo kikuu cha scott christian .

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya