Rais Ruto ahimiza usawa wa kifedha duniani alipokutana na rais wa Ufaransa Emmanuel Macron

  • | KBC Video
    33 views

    Rais William Ruto ametoa wito wa kuwepo kwa mfumo wenye usawa wa kifedha duniani utakaohakikisha matumizi mwafaka ya raslimali. Akizungumza leo wakati wa mkutano na rais wa Ufaransa Emmanuel Macron pamoja na mashirika ya kifedha, Rais Ruto alieleza kwamba raslimali hazifai kudhibitiwa na benki ya dunia wala shirika la fedha duniani ila mfumo mpya wa kifedha ambapo mamlaka ya udhibiti raslimali hayataachiwa wachache.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #rutonewstoday #darubini